KOO ZA KUKU ZINAZOPATIKANA HAPA TANZANIA:
Kuna Koo nyingi za kuku wa asili zinazopatikana hapa nchini.
KOO
Baadhi ya Koo
hizo na sifa zake ni hizi zifuatazo:
1.
Kuchi:
Sifa
zake za Kuchi:
a) Ana umbo lenye ukubwa wa wastani.
b)
Hana upanga kichwani.
c)
Ana mdomo mfupi.
d) Ana shingo ndefu yenye manyoya.
e) Ana ngozi ya rangi ya njano
f) Ana miguu mirefu isiyo na manyoya
g)
Ana uwezo mkubwa wa kujihami
h)
Wanapatikana mikoa ya Tabora, Singida, Shinyanga, Mwanza,
na Tanga.
2 Kishingo:
Sifa
zake za Kishingo:
Ø Ana umbo lenye ukubwa wa wastani
Ø Ana upanga
kichwani.
Ø Ana shingo isiyo na manyoya.
Ø Ana ngozi yenye rangi ya njano au nyeusi.
Ø Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.
Ø Anapatikana mikoa yote ya Tanzania.
3 Bukini:
Sifa
zake za Bukini :
Ø Ana umbo fupi na ni mnene.
Ø Ana upanga
kichwani.
Ø Ana shingo yenye
manyoya.
Ø
Ana ngozi yenye rangi ya njano.
Ø Hana manyoya ya
mkia.
Ø Wanapatikana kwa
wingi katika mikoa ya Tanga, Pwani, Kilimanjaro, na Singida.
Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.
o
Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.
4 Kinyavu / nungunungu/kuchere:
Sifa
zake Kinyavu:
Ø
Ana umbo
dogo akilinganishwa na Kishingo na Kuchi
Ø Ana shingo yenye
manyoya.
Ø Ana ngozi yenye rangi ya njano.
Ø Ana manyoya
yaliyosimama.
Ø Ana mkia mrefu wa wastani.
Ø Anapatikana katika mikoa yote nchini.
5 Kawaida /Kitewe:
Sifa
zake Kawaida / Kitewe:
Ø
Ana umbo dogo ukilinganisha na
Kuchi au Kishingo.
Ø Ana shingo yenye
manyoya.
Ø Ana ngozi yenye
rangi nyeupe, njano au nyeusi
Ø Ana manyoya ya mkia yenye urefu
wa wastani.
Ø Anapatikana mikoa yote ya Tanzania.
WASILIANA NASI KWA;
0745 101842
hwilliady@ymail.com
0745 101842
hwilliady@ymail.com
No comments:
Post a Comment